Waziri mkuu wa Mauritania Sir
Anerood Jugnauth ametishia kuishtaki Uingereza katika mahakama ya
kimataifa kuhusu haki kuhusu uhuru wa kisiwa cha Chagos.
Ameliambia
Bunge mjini Port Louis kwamba Uingereza ni sharti iiambie Mauritius
mwishoni mwa mwezi Juni ni lini itakirudisha kisiwa hicho la sivyo
ifikishwe mahakamani.
Kisiwa hicho kilikuwa katika eneo la Mauritius hadi mwaka 1965 wakati kilipochukuliwa na Uingereza na kukifanya eneo lake. Uingereza baadaye ilikifanya kisiwa hicho kuwa
kivyake ,na kuwafurusha wenyeji na kuiruhusu Marekani kutengeza kambi ya
kijeshi katika kisiwa kimojawapo cha Diego Garcia.
Post a Comment