Latest in Tech

Mkanda wa ngono wa Tyga na Kylie Jenner wasambaa mtandaoni


Kylie Jenner anataka kufuata nyayo za dada yake, Kim Kardashian.

Mkanda wa ngono unaodaiwa kumhusisha Kylie na aliyekuwa mpenzi wake, Tyga umesambaa mtandaoni, kwa mujibu wa ripoti. Ripoti zinadai kuwa video hiyo iliwekwa kwenye website ya rapper huyo kwa dakika 30 kabla ya kuondolewa.
Mmoja wa watumiaji wa Twitter aliandika: “Guess who got the Kylie Jenner sex tape before it was deleted from Tyga’s website.”

Kylie-and-Tyga
Wawili hao waliwahi kupewa ofa ya mamilioni ya dola kufanya mkanda wa ngono.
Kampuni ya Vivid Entertainment ilitoa ofa ya dola milioni 10. Kim Kardashian alipata umaarufu baada ya mkanda wake wa ngono na Ray J kusambaa mtandaoni.


Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes