![]() |
| Majivu imerushwa angani huku tope la volkeno likitapakaa kilomita |
Idadi ya watu waliofariki kufikia sasa Nchini Indonesia imepata na kufikia saba.
Watu
hao wamefariki na wengine kadhaa kupata majeraha mabaya baada ya
kuchomwa na gesi iliyochangamana na moshi wa volkeno baada ya mlima
mmoja kulipuka magharibi mwa nchi hiyo.Habari zaidi zinasema kuwa majivu imerushwa angani huku tope la volkeno likitapakaa kilomita tatu na kusababisha vifo vya watu hao.
Makundi ya uokoaji yamefika maeneo hayo ili kuwahamisha watu na kutafuta manusura au maiti zaidi ya waliofariki.


Post a Comment