![]() |
| Mwanamme aruka makusudi kwenda kwa hifadhi ya simba Chile. |
Simba wawili wameuawa na walinzi wa
hifadhi ya wanyama nchini Chile wakati walijaribu kumuokoa mwanamme
mmoja ambaye alivua nguo na kisha kuruka kwenda kwa hifadhi walimokuwa
simba hao.
Walinzi wa hifadhi walijibu kwa kuwafyatulia risasi simba hao walipoanza kumshambulia na kuwaua wote wawili.


Post a Comment