![]() |
| Ndege zilifanya mashambulizi kwenye barabara inayoelekea maeneo yanayodhibitiwa na waasi katika mji wa Allepo. |
Wanaharakati
nchini Syria wanasema kuwa ndege za kivita zimefanya mashambulizi
makubwa zaidi kwenye barabara inayoelekea maeneo yanayodhibitiwa na
waasi katika mji wa Allepo.
Serikali ya Syria imekuwa ikishambulia maeneo yanayodhibitiwa na waasi mjini Allepo siku za hivi karibuni na kuvunja makubaliano yaliyoafikiwa mwishoni mwa mwezi Februari.


Post a Comment