![]() |
| Moto mkubwa waendelea kuwaka Canada |
Maafisa nchini Canada wanasema kuwa
moto unaoendelea kuwaka katika mji mkuu wa kuzalisha mafuta na vitongoji
vyake wa Fort MucMurray utaongezeka maradufu chini ya muda wa masaa 24
yajayo.
Kuta ndefu za miale ya moto zingine zikifikia mita 60
zimezuia watu wanaotaka kuondoka katika maeneo mbalimbali ya mji huo
kutorokea usalama.![]() |
| Shughuli za uokoaji zatatizwa |
Maeneo mawili ya kuzoa changarawe yametishiwa na moto huo, ambao umesambaa katika eneo linalozidi ekari 100,000.



Post a Comment