Latest in Tech

Movie staa aliyepiga chini dili la dola milioni 100 kwa filamu mbili tu.


Mwigizaji wa filamu za James Bond wa sasa Daniel Craig amekata mkataba mpya wa kuigiza filamu hizi za 007, huku muigizaji mpya akihisiwa kuwa ni  Tom Hiddleston.

Mpaka sasa Daniel ndio staa aliyelipwa zaidi kuigiza nafasi hii akiwa mpaka sasa amepokea Pound milioni £38 kwa filamu nne alizofanya ndani ya miaka 11.

Awali Bond aliigiza Pierce Brosnan na kafanya filamu nne kabla hajafikisha miaka 49 na sasa Craig ana miaka 48 na angeweza kufanya filamu ya tano.

Inasemekana Daniel amekata kiticha cha Pound milioni £68 million ikiwa inakaribia dola milioni 100 ilikufanya filamu mbili za James Bond.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes