By
Unknown
•
05:02:00
•
•
Msanii anayefanya Afropop,Caribbean
dancehall na soca Ayo Jay ametajwa kuwa msanii wa kuangaliwa mwaka 2016
katika wasanii kumi na jarida la Rolling Stone.
Ayo Jay amehamasishwa na wasanii kama Kevin Lyttle, Rupee, WizKid.
Ayo Jay amewahi kuhit na wimbo kama “Your Number” na kufanya remix na
Fetty Wap kutoka Marekani, nyimbo nyingine ni pamoja na Ibadi Yen,
Think About Me na Gimme Kiss.
SIMILAR ARTICLES
Post a Comment