![]() |
Polisi kaskazini mwa Australia
wanasema kuwa mwanamke mmoja hajulikani aliko, baada ya kushambuliwa na
mamba alipokwenda kuongelea usiku.
Hifadhi hiyo ya taifa ipo katika maeneo ya Queensland, nchini humo.
tukio hilo ni limetokea Jumapili jana, ambapo hadi sasa inahofiwa kuwa huenda ameliwa na Mamba.


Post a Comment