Mpatanishi mkuu wa muungano wa
upinzani nchini Syria amejiuzulu katika kile anachosema kuwa, kuvunjika
kwa mazungumzo ya amani, yenye nia ya kumaliza vita vya wenyewe kwa
wenyewe vilivyodumu miaka mitano sasa.
Kamati kuu ya mazungumzo hayo ya amani iliahirisha shughuli zake mwezi Aprili na hakuna tarehe ambayo imewekwa ya kurejelewa kwa mazungumzo.


Post a Comment