Red Flag ni movie ambayo ina comedy kidogo na it’s a romantic comedy movie,” Nicole ameiambia Bongo5.
“Mimi nimecheza kama Vanessa, Vanessa kwenye movie ni main character. Rammy alikuwa Fred ambaye ndio alikuwa boyfriend wangu kimovie, alikuja Tanzania kutafuta girlfriend tukakutana. Kule Nigeria alienda kunitambulisha kwao,” ameongeza.



Post a Comment