Latest in Tech

PICHA:Mapenzi ya AKA NA Bonang Matheba sio siri tena,

Baada ya rapa Aka kuweka wazi kuwa yeyena DJ Zinhle watabaki kuwa wazazi tu kwa mtoto wao wa kwanza, kwa sasa staa huyu anajiachia na Bonang Matheba na ameliweka jambo hili wazi kabisa.
AKA ameonekana na Bonang Matheba kwenye sehemu tofauti za starehe wakila bata na hivi karibuni walikuwa pamoja airport na ni Love In The Air tu.
Fahamukuwa Bonang Matheba alikuwa mpenzi wa Dbanj. Hii ni convo yao huko twitter.
aka img_8119

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes