Show hii ya kwanza imefanyika mjini Brooklyn nyumbani kwa Jay Z ambapo Combs alimuita Jay Z ‘Kaka Yangu’ wakati anamtambulisha kwenye stage aje kufanya nae show.
‘Bad Boy’ wamesherehekea miaka 20 kwenye game la muziki duniani.

Home » burudani » Picha,Puff Daddy na Jay Z kwenye show ya Bad Boy Family Reunion.

Post a Comment