Pruducer mkubwa aliyeshinda tuzo ya Grammy kupitia kazi zake bora amefungua kesi ya madai dhidi ya staa wa Rapa Iggy Azalea.
Jon Jon Trax amedai kuwa mwaka 2009 alisaini mkataba na Iggy Azalea
ila rapa huyu alimkimbia baada ya kupata mchongo wa Def Jam mwaka 2013.
Producer huyu aliyefanya kazi na Beyonce, Keyshia Cole na
Lecraeanataka ametaka fidia ya dola milioni 1.5 akidai kuwa mkataba wake
na Iggy ulikuwa kama ataenda kwenye lebel nyingina basi ataendelea
kumlipa asilimia flani ya mapato yake ia Iggy hajafanya hivyo.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)


Post a Comment