Latest in Tech

Rapa Wale kawatetea dada zetu wanaovaa jeans za mtindo huu.

Rapa Wale wa lebel ya MMG amewapa shavu mabinti wanaovaa jeans zilizochanwa nyuma na kuonyesha sehemu flani ya makalio yao.
Kupitia twitter yake Wale alisema “Utakuwa kahaba kama utaruka kutoka kwa mwanaume/mwanake huyu na mwingine tena ila sio kuvaa hivi,hapa hakuna tatizo“.
wale jeans

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes