![]() |
| Wabunge wanasema kwa katiba imetoa fursa ya kuwepo usawa na watu hawawewi kuadhibiwa kutoka na mwelekeo wao wa kijinsia. |
Bunge la Ushelisheli limeidhinisha sheria isiyoharamisha mapenzi kati ya watu wa jinsia moja.
Viongozi wa makanisa hasusan kanisa la katoliki wamamempinga wakisema kuwa mapenzi ya jinsia moja yako kinyume na kanuni za dini.
Hata hivyo wabunge walioipigia kura sheria hiyo, wanasema kwa katiba imetoa fursa ya kuwepo usawa na watu hawawewi kuadhibiwa kutoka na mwelekeo wao wa kijinsia.


Post a Comment