Mbele
wanasema ” No Daddy Issues” wakimaanisha hakuna tatizo kati ya Beyonce
na baba yake hata baada ya tetesi kuwa watu hawa wawili hawako sawa kwa
sasa.
Tetesi hizi ziliibuka baada ya mashairi ya Beyonce kwenye album ya Lemonade, kutafsiriwa kuwa baba yake alikuwa anampiga Beyonce wakati mtoto.
Mama yake Beyonce Tina Knowles aliweka picha ya Bey na baba yake Mathew Knowles, wakiwa kwenye show ya Bey huko Texas



Post a Comment