Latest in Tech

VIDEO: ALI KIBA ''AJE'' KUTAZAMWA ALHAMISI IJAYO YOUTUBE

Ni kwasababu kwa sasa video hiyo iliyoongozwa na Mejji Alabi inachezwa kupitia kituo cha TV cha MTV Base peke yake. Na huenda makubaliano ya exclusivity kati ya kituo hicho cha runinga na uongozi wa Kiba ni video hiyo kuchezwa kwa kipindi cha wiki nzima na wao tu. Hiyo inalipa kwasababu kwa wiki nzima video hiyo itachezwa mara nne kwa siku.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes