Rapa kutoka nchini Marekani, The Game ameonekana kwenye kipande cha video kilichozua maswali kwa mashabiki.
Kipande hiko cha video kinamuonyesha rapa huyo [The Game] akiwa
amekaliwa juu ya kifua chake na msichana anayejulikana kama Maliah
Michel ambaye ni mcheza dance wa uchi kwenye klabu ya usiku, Ace of
Diamonds iliyopo Los Angeles
.Hata hivyo gumegume hilo liliwahi kuhusishwa kuwa na mahusiano na rapa mwingine, Drake.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment