Baada ya kumaliza collabo yao na Diamnd Platnumz, sasa Jaguar kutoka
Kenya ameachia video mpya aliyofanya na wasanii kutoka Afrika Kusini
‘Mafikizolo‘, wimbo umepewa jina “Going Nowhere”.
Bonyeza play kuitazama nipe mtazamo wako pia.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)


Post a Comment