Latest in Tech

VIDEO:Selena Gomez akiimba wimbo wenye mashairi yanayomlenga Justin Bieber

Wimbo wa ‘Feel Me’ ambao aliimba Selena Gomez usiku wa Ijumaa kwenye ziara yake hiyo umeanza kuzua maswali kwa mashabiki wakisema kuwa mashairi ya wimbo huo yamemlenga aliyekuwa mpenzi wake Justin Bieber.
Hii ni video ya Selena akiimba wimbo wa ‘Feel Me’

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes