Latest in Tech

WIZ KID AVUNJA REKODI YA WIMBO WA HELLO

Wimbo wa Drake uliopewa jina la “Once Dance” umevunja rekodi ya kusikilizwa mtandaoni iliyowekwa na msanii Adele kupitia wimbo wake wa ‘Hello’.
Wimbo huu wa Drake “One Dance” Ft Wizkid & Kyla umesikilizwa na watu milioni 7.86 nchini Uingereza tu na kufunika wimbo wa Adele wa “Hello” uliosikilizwa na watu milioni 7.32.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes