
Wizkid ambaye ameshika nafasi ya 12 katika chart ya wasanii ambao nyimbo zao zinapakuliwa zaidi kwenye mitandao ya iTunes na Spotify, alimtangaza pia rais mpya wa label yake.

Hii ni chart ya wasanii wanaoongoza kwenye mtandao wa iTunes na Spotify
Home » burudani » Wizkid kuwasaini Efya, R2Bees na Mr Eazi kutoka Ghana kwenye label yake ya ‘Starboy Worldwide’


Post a Comment