Baada ya Mshindi wa tuzo ya BET,Best International Act: Africa kutangazwa kuwa ni Black Coffee, wasanii tofauti Afrika wamekuwa mstari wa mbele kumpa hongera msanii huyu akiwemo Diamond Platnumz ambaye pia yeye alikuwa akiwania tuzo hii.
Haya maneno machache kutoka kwa Diamond.
>Congrats black Coffee… Proud of you my Bro ????<<


Post a Comment