Iggy Azalea amemrudishia Nick Young pete yake ya uchumba huku yeye akichukua gari alilompa Nick kama zawadi mwaka 2014.
Iggy na Nick walikubaliana kuwa kama wataachana basi Nick atapata pete yake na Iggy atachukua gari alilompa.
Pete ina Carats 10.43 ikiwa na thamani ya dolalaki tano.


Post a Comment