
Kituo cha E nchini Marekani kimeripoti kuwa Rihanna na Drake wamerudiana na kwamba kwa sasa mapenzi yao yana nguvu sana kutokana na uwamuzi wa Rihanna wa kutulia na Drake.
Rihanna na Drake wanafanya show kupitia Anti World tour na kwamba kila mji wanaenda pamoja na kulala chumba kimoja kwenye hotel waliofikia.
Hivi karibuni walikuwa Manchester huko Uingereza na walifanya show kali sana, video ya show iko hapo chini,

Post a Comment