Latest in Tech

PICHA: Paul Pogba akicheza kikapu

Ikiwa Manchester United wanaelekea kukamilisha usajili wa Paul Pogba kutoka klabu ya Juventus kwa ada pound milioni £100 ikiwa ndio rekodi mpya ya uhamisho kama itakamilika.
Man Untd walianza na ofa ya pound milioni £86 ila hata wakilipa hio badu malipo mengine na kodi itazidi ada waliyopokea klabu ya Tottenham ambayo ilikuwa pound milioni £85m wakati wa usajili wa Gareth Bale kwenda Real Madrid mwaka 2013.
p1 p2 p3 p4 p5p7

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes