Mwigizaji mwingine mkubwa kutoka Marekani amepewa shavu la kuigiza kwenye filamu ya Fast & Furious 8. Staa huyu ni Helen Mirren na kwenye mahojiano hivi kaeibuni amethibitisha kuwepo kwenye filamu hio.
Helen anasema “Sitakuwa naendesha gari, husika hio labda kwenye filamu zijazo kama Fast and Furious 12, ila nitakuwepo kwenye hii filamu mpya”.
Fast & Furious 8 inatoka April 2017.

Post a Comment