Latest in Tech

VIDEO: Mpya JoJo akiwa na mkali Wiz Khalifa ‘F**k Apologies’ Itazame hapa.


Akiwa kwenye harakati za kurudi kwenye game,JoJo amekamilisha collabo na rapa Wiz Khalifa iliyopewa jina la “Fuck Apologies,”. Wimbo huu upo kwenye album yake mpya na yakwanza ndani ya miaka kumi.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes