Hii ni video ya kwanza ya muziki ya rapa Gucci Mane aliyetumikia zaidi ya mwaka mmoja na nusu jela kwa makosa tofauti likiwemo la kukiuka masharti ya kifungo cha nje.
Hii video ya Gucci yupo na Young Thug na wimbo unaitwa “Guwop Home.” Gucci yupo studi anatayarisha album yake ya Everybody Looking inatoka July 22 ikiwa na wasanii kama Kanye West na Drake.


Post a Comment