Latest in Tech

DRAKE NA KANYE WEST WAMETANGAZA UJIO WA ALBAM YAO YA PAMOJA

Kwenye jukwa moja rapa Drake na Kanye West wakiwa kwneye ziara za OVO Fest jijini Toronto Jumatatu hii wametangaza rasmi kuwa wameanza kurekodi album ya pamoja.
Kanye alisema “Toronto m’po tayari kwa hii album ,sio Pablo, sio View , ila mpo tayari kwa hii album?
Hap Drake alitokea nyuma ya jukwaa na wawili hao wakapeana ishara na Kanye kuendelea kutumbuiza wimbo wake, “Father Stretch My Hands Pt. 1.
Hii itakuwa album kali kwenye hiphop sababu ya ukali wa wawili hawa kwa sasa,

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes