Latest in Tech

IGGY AZALEA AKANA KUTOKA KIMAPENZ NA FRENCH MONTANA

Rapa Iggy Azalea ambaye kwa sasa yupo Single ametoa maelezo juu ya tetesi kuwa kwa sasa yeye ni mpenzi mpya wa rapa French Montana baada ya wawili hawa kuonekana pamoja mjini Las Vegas kwenye shughuli ya Jennifer Lopez.
Iggy kaelezea kupitia E! News kuwa yeye na French wanafanya colabo na sio wapenzi, wameimalizia walivyokuwa Las Vegas na kwamba muda wowote watafanya video ya wimbo huu.
No, we’re [just] collaborating,I’ve got another single coming out with French Montana, so we recorded it while I was in Las Vegas last week. It should be having a music video filmed to it in the next few weeks.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes