Rapa Drake ameweka wazi kwamba hamuogopi rapa mkali Eminem na yuko tayari kukutana naye uso kwa uso washindane kuchana.
Drake alivyoulizwa kuhusu tishio la Eminem kumdis hivi karibuni alisema “Hio haiwezi tokea na akijaribu tu nina makali zaidi nimemtayarishia Akiongelea beef yake ya Joe Budden Drake alisema“.
Drake kwa sasa ana beef na rapa wawili wakubwa ambao ni Joe Budden na Meek Mill.
Maongezi haya yalifanywa nje ya studio kati ya Drake na Mtangazaji wa radio Ebro



Post a Comment