Latest in Tech

VIDEO: THE GAME NA 50 CENT WAZIMA BIFU LAO LILIDUMU KWA MIAKA 12


Jumatatu ya August 1 2016 imeingia kwneye historia baada ya beef refu la miaka 12 kati ya wasanii wa kubwa wa hiphop duniani The Game na 50 Cent kuisha na kuzikwa kwenye club moja nchini Marekani. The Game alitangaza kuwa hana tena tatizo na member mwenzie huyo wa zamani wa kundi la G-Unit baada ya kujumuika pamoja kwenye strip club ya Ace of Diamonds, jijini Los Angeles nchini Marekani. Kwenye tukio hilo, Game alishika kipaza sauti na kusema maneno haya makali,”I fuck with 50.What happened, that shit was 12 years ago. Ni**as ain’t on that shit. Drink your motherfuckin’
Effen…Ain’t nobody on that old shit” Akimaanisha “Niko sawa na 50 Cent, yaliyotokea miaka 12 iliyopita yamepita bwana na sasa ni muda wa mambo mapya sawa, kunyweni kinywaji chake cha Effen” Game alipata umaarufu kama member wa G-Unit, alianzisha bifu na kundi hilo kwa kampeni ya G-Unot.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes