Latest in Tech

MICHEZO

SIASA

VIDEOS

Latest Updates

Showing posts with label ARUSHA. Show all posts
Showing posts with label ARUSHA. Show all posts

AJTC ndicho chuo bora cha mafunzo ya uandishi wa habari na utangazaji nchini

08:11:00


hiki ni kibao cha chuo cha uandishi wa habari na utangazaji arusha <AJTC>


hili ni jengo la utawala katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji arusha <AJTC>
sehemu ya vyumba vya madarasa chuoni hapo
mkufunzi wa chuo hicho Bw: Thomas Ishengoma akifundisha moja kati ya madarasa chuoni hapo

wanafunzi wakisikiliza kwa makini darasani
baadhi ya wanafunzi chuoni hapo wakijifunza kompyuta

wanafunzi hushirikiana vyema kimsomo pindi wawapo darasani kwa kuelekezana yale wasiyoyafahamu

wakufunzi hua na muda wa ziada kuhahakisha wanafunzi wanaelewa zaidi pindi wanapoitaji

wanafunzi hupata muda wa mapumziko na kujadiliana maswala kadha wa kadha
wanafunzi hupata muda wa kufanya mazoezi kwa vitendo ili kujiimarisha zaidi kitaaluma

HATIMAYE NGORONGORO WAIBUKA MABINGWA WA UTANGAZAJI NDANI YA AJTC

02:26:00
Hatimaye   darasa la Ngorongoro limeibuka kidedea katika mashindano  ya utangazaji 
katika chuo cha uandishi habari na utangazaji Arusha mashindano yaliyochukua 
takribani siku tano.
Darasa hilo baada ya kuingia fainali hiyo jana kati ya madasa 13ambapo leo hii limejishindia 
kombe pamoja na pesa tasiilimu shilling laki moja na nusu huku likifatiwa na darsa la Kilimanjaro 
nafsi ya pili wakijishindia laki moja  darasa la serengeti limeshikili nafsi ya tatu na kupewa 
zawdi shilling elf sabini huku baadhi ya wanafunzi walio 
                                            
Hata hivyo mkuu wa chuo hicho bw Joseph Mayagila amewapongeza wanafunzi 
wote walioshiriki na kuwataka wasibweteke bali waendelee kujituma ili wafanye vizuri 


katika mashindano mengine yatakayojitokeza
Kwa upande wake mkuu wa wa kitengo hicho Bw Onesmo Elia Mbise  amesma mashindano 
hayo yamendeshwa kwa haki na usawa na majaji wamefuata kanuni zote za uhakiki 
wa vipindi lakini akiwataka wanafunzi wote kuongeza juhudi na kuiga vile 
vyote vizuri walivyoviona katika vipindi mbali mbali

Mashindano hayo ambayo ni ya  tisa kufanyika chuoni yamekamilika hii leo
 huku wanafunzi wakionyesha mwitikio na ushindani mkubwa tofauti na miika mingine

MASHINDANO YA UTANGAZAJI KATIKA CHUO HA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI ARUSHA AJTC WALIOINGIA FAINALI

02:43:00

NIPATA SHIKA NGUO KUCHANIKA NANI NI NANI NDANI YA AJTC

02:48:00
Siku ya tatu ya Mashindano ya Utangazaji Katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha
Na leo ni Madarasa ya Mzumbe,Kilimanjaro,Ruwenzori na Ngorongoro, Majaji ndio Waamuzi kesho katika Mchujo wa kubakisha Madarasa matano (5) kati ya 13 Yaliyoshiriki tangu Mashindano Yalipoanza Jumatatu ya wiki hii

NANI NI NANI NDANI YA AJTC

02:31:00
Mashindano ya utangazaji katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha AJTC yanaendelea,huku madarasa mbali mbali yakifanya vizuri katika vipindi vya HABARI, MICHEZO,BURUDANI NA MAKALA.

Mashindano hayo ya 2016 ambayo ni ya 9  yanawapa wakati mgumu  majaji jinsi yakufahamu nani ni nani kwani madarasa yote yameonekana kufanya vizuri zaidi.

DJ, MULLY NDANI YA STUDIO ZA AJTC 96.6

MASHINDANO YA UTANGAZAJI YAMEZINDULIWA RASMI NA MAKAMU MKUU WA CHUO HICHO BW: ELIFURAHA SAMBOTO

02:53:00
Majaji wamejipanga tayari kutoa maksi katika kila Darasa litakaloingia Studio kufanya Vipindi
Punde mashindano ya Utangazaji katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha yataanza na Darasa linaloanza kuwasilisha vipindi ni (SELOUS CLASS)
s
 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes