Latest in Tech

MICHEZO

SIASA

VIDEOS

Latest Updates

Showing posts with label UNIVERSE. Show all posts
Showing posts with label UNIVERSE. Show all posts

VIDEO: NASA yatoa picha ya kwanza ya sayari ya Jupiter iliyotumwa na Juno

10:50:00

Chombo cha anga za juu cha shirika la Marekani la NASA kilichopewa jina Juno kimetuma picha za kwanza za sayari ya Jupiter.

Picha ya kwanza iliyotumwa na Juno
Picha hiyo iliyotolewa na NASA Jumanne hii inaonesha sayari hiyo ikiwa imezungukwa na miezi mitatu kati ya miezi yake minne mikubwa.
Miezi inayoonekana ni Lo, Europa na Ganymede. Mwezi huo mwingine uitwao Callisto hauonekani.
Picha hiyo ilipigwa Jumamosi wakati Juno ilipokuwa inazunguka sayari hiyo ikiwa umbali wa maili milioni tatu.
Hata katika umbali huo, Shimo Jekundu, lililosababishwa na dhoruba kali kwenye sayari hiyo karne nyingi zilizopita, linaonekana.
Juno iliingia katika mzingo wa Jupiter wiki iliyopita na kuanza kuizunguka sayari hiyo ambalo pia hufahamika kama Zohali au Zozali.
Safari yake kutoka duniani hadi ilichukua miaka mitano.
Juno itachunguza na kupeleleza sayari hiyo kwa miezi 20, lengo kuu likiwa kusaidia wanasayansi kubaini asili ya sayari hiyo ambayo wanaamini inaweza kuwasaidia kuelewa zaidi asili ya mfumo wa jua.
Chombo hicho cha juu kilipokuwa kinaikaribia Jupiter, kamera zake na mitambo mingine muhimu vilizimwa kuzuia visiharibiwe na miali nururishi. Baadaye, vilifunguliwa.
Wanasayansi wanatarajia picha za karibu zaidi za Jupiter zitapokelewa mwezi ujao.

Setilaiti ya Juno yafika Jupiter

02:58:00


Image copyrightNASA
Image captionSatelite ya Juno kama inavyoonekana
Ile Setilaiti ya Juno iliiyosafiri kwa miaka mitano kwenda katika sayari ya Jupiter imefika kwenye sayari hiyo na kuanza kuizunguka.
Wanasayansi wanakadiria setilaiti hiyo ilifika muda mfupi ujao majira ya saa 12:15 asubuhi hii kwa saa za Afrika Mashariki.
Setilaiti hiyo inatarajiwa kudumu kwa mwaka mmoja na nusu kuchunguza sayari jinsi ilivyoumbwa.
Mawasiliano kutoka kwa chombo hicho cha juu yalipokelewa katika maabara ya Nasa eneo la Pasadena, California kwa shangwe.
"Vituo vyote vya Juno, tunapokea sauti ya kufanikiwa kwa chombo Delta B," kituo cha udhibiti wa Juno kilitangaza. "Roger Juno, karibu Jupiter."
JunoImage copyrightGETTY
Image captionChombo cha Juno kikipaa
Wanasayansi wanatarajiwa kutumia chombo hicho kufahamu Zaidi muundo wa sayari ya Jupiter ambayo hujulikana kwa Kiswahili kama Zohali.
Wanafikiri muundo wake kikemia unaweza kutoa ufahamu kuhusu jinsi sayari hiyo iliundwa miaka bilioni nne unusu iliyopita.
Hakuna chombo cha anga za juu kilichowahi kufika karibu sana na sayari hiyo kama kilivyofanya chombo cha Juno.
Miali nururishi kutoka kwa sayari hiyo huwa na uwezo wa kuharibu vyombo vya kielektroniki visivyokingwa vyema.
Chombo vya Juno kimezingirwa na kinga ya madini ya Titanium.
Kwa sasa Juno itakuwa ikichukua siku 53 kuizunguka sayari hiyo.
Baadaye Oktoba, itaongeza kasi na kuikaribia zaidi sayari hiyo na kuanza kutumia siku 14 kumaliza mzunguko.
Image copyrightGETTY
Lengo kuu litakuwa kubaini iwapo kuna oksijeni katika sayari hiyo. Hii sana itakuwa imefungamanishwa na maji, iwapo yapo.
"Kiwango cha maji katika sayari ya Jupiter kitatueleza mengi kuhusu ni wapo sayari hiyo ilikuwa ilipoundwa mapema katika mfumo wa jua,” anasema mmoja wa wanasayansi wanaohusika katika mradi huo Candy Hansen.
"Tunafikiri kwamba Jupiter iliundwa ikiwa pahala tofauti na ilipo sasa."
  • Jupiter ina ukubwa mara 11 kuzidi Dunia na uzito wake ni mara 300 zaidi
  • Sayari hiyo hutumia miaka 12 ya dunia kulizunguka jua; siku moja huko hudumu saa 10.
  • Muundo wake ni kama wa nyota , sana haidrojeni na helium.
Nasa inapanga kuitumia Juno hadi Februari 2018.

VIDEO: EMBU SHUHUDIA HATARI HII YA TUKIO LA TSUNAMI

08:26:00

VIDEO:VIMONDO [ASTEROIDS] NI MAGIMBA MADOGO AMBAYO HUMEGUKA KATIKA MAGIMBA MAKUBWA NA KUANGUKA KATIKA USO WA DUNIA

13:31:00

VIDEO; TUKIO LA AJABU LILIVYOZUA TAHARUKI NCHINI INDONESIA NA UFILIPINO

15:30:00
mwanzo wa tukio lilivyoanza kutokea
UMESHAWAHI KUSHUHUDIA TUKIO LA KUPATWA KWA MWEZI AU JUA?
TUKIO HILI LA KUPATWA KWA MWEZI AU JUA HUTOKEA MARA CHACHE SANA LAKINI TUKIO LA KUPATWA KWA JUA HUTISHA ZAIDI YA LILE LA MWEZI KWANI WENGINE HUWAZA VINGI ZAIDI NA KUHUSIANISHA NA IMANI ZA KIDINI YAKWAMBA NI MWISHO WA DUNIA LAKINI UKWELI HALISI NI KWAMBA MATUKIO HAYA HUTOKANA NA MIZUNGUKO YA MWEZI NA DUNIA KATIKA KULIZUNGUKA JUA.
baada ya muda jua lilipotea na kuonekana hafifu
TUKIO HILI LA KUPATWA KWA JUA LIMETOKEA HIVI JUZI KATIKA MATAIFA YA UFILIPINO, INDONESIA NA MATAIFA YA JIRANI NA KUZUA MTAFARUKU MKUBWA KWA WATU WAKIAMINI NDO MWISHO WA UKLIMWENGU.

TAZAMA VIDEO YA TUKIO HILO HAPA CHINI;
baada ya muda kiza kikatanda

VIDEO: HII NDIO SAFARI YA KWANZA KUIELEKEA SAYARI YA MARS

14:20:00


jet ya safari za safari za mbali zaidi angani ikiondoka kuelekea katika sayari ya mars
jet ya safari za kuelekea katika sayari ikiwa mbali zaidi angani kuifikia sayari ya mars
jet ikiwa tayari imewasili katika sayari ya mars

jet ikitua katika mars

TUKIO LA AJABU KUTOWAI KUSHUHUDIWA KWA MIONGO MITATU; SAYARI ISIOJULIKANA ILIOPEAW JINA LA PLANET X KUIFUATA NA KUIKARIBIA SAYARI YA DUNIA KWA KASI YA AJABU

06:34:00

1. Ni sayari ambayo kila baada ya miaka 3600 huingia katika solar system yetu na huikaribia dunia ila haitaigonga dunia.

2. Ni sayari ambayo mwaka 1982 shirika la marekani la mambo ya anga "NASA" waliigundua ikiwa mbali sana nyuma ya pluto. Lakin kutokana na kuto leta panic kwa watu shirika hilo na serikali yake walikaa kimya bila kusema lolote kuhusu hio sayari na kulikuwa na gazeti la marekani kipind hicho lilitangaza lakini baada ya siku kadhaa walikanusha kuhusu hicho walichokisema angalia Untitled Document

3. Ni sayari ambayo watu wa kale ambao ni sumerians waliizungumzia kama "crossing planet" ambayo ndo maana ya Nibiru. Wanasema ni sayari ambayo ikipita katika huwa muda wa kila miaka 3600 takribani 1/3 ya viumbe hai wanakufa.

4. Kwa sasa katika nchi za Canada, markani huko alaska, nchi za ulaya ambazo zipo karibia katika northen hemisphere na nchi za kusini mwa america na south africa hii sayari imeanza kuonekana kwa ukaribu zaidi katika muda ule jua linapoanza kuchomoza. Inaonekana kama ni jua la pili au mtoto wa jua kwa maana hii sayari ina moons ambazo zinawaka kama moto.

5. Kuna habari kuhus Pole Shifts, mabadliko ya pole shifts husababishwa na magnetic fields za dunia kiingiliwa na magnetic fields za hii sayari ya Nibiru. Hivyo matukio kama Tsunami na matetemeko ya ardhi na milipuko ya volcano vimeanza kutokea. Kadri inavozidi kusogea katika dunia ndio uharibifu utazidi kutokea, hivyo watu watakufa sana.

6. Kuna uwezekano wa sayari hii ku-cross dunia katika kipndi cha miaka mitatu kutoka sasa. Maana mwaka 2005 ilionekana kuwa inakuja kwa speed sana na ilikuwa umbali wa 1 light year ambayo ni sawa na trillion 9.46 km kutoka duniani na ilikuwa na speed takribani 200 miles kwa sekunde. So kati ya mwezi march au april 2015 au 2016 au 2017 itaipitia dunia kwa ukaribu kwa muda wa Wiki 7.3 au siku 51.

7. Pia kuhusu hili imekaa kiimani zaidi hasa katika biblia katika kitabu cha ufunuo wa yohana imezungumzia katika sura ya 6 mstari wa 12 hadi 14.......

8. Tokea mwaka 1983 kuna tetesi za ujenzi wa mahandaki "underground bases" kuongezeka na iko chini ya serikali ya marekani baada ya kifaa chao kilichotumwa na NASA kugundua kuwa planet X iko karibu kuingia katika solar system.

9. Serikali kama ya marekani inasemwa kuwa ilipata ufumbuzi huu mapema lakini ieamua ku-cover up ili kuondoa virugu na panic za watu duniani kama wakijua mapema. Wameamua kufanya hivi ili kuwafanya wale wachache tu wapate kupona katika catastrophe hii ikitokea hivi karibuni, ambao watakuwa wamejihifadhi katika mahandaki hayo.

10. Kuna taarifa kuwa orbit ya sayari ya Jupiter kubadilika sehemu yake tokea mwaka 2005, 2007, 2009 na 2012 lakini hawajaeleza kama mabadiliko hayo yanasababishwa na nini?

11. Kuna sites zingine katika internet zinazungumzia hili tukio ni moja ya siri kubwa za serikali za nchi zenye uwezo mkubwa duniani kuwa kama moja ya njia pekee ya kupunguza population ukiachana na bio-weapons

kama ebola, kimea, AIDS.

12. Kutangwaza kwa Planet X au NIBIRU itatangazwa kwenye vyombo ya habari pale itakapo fika kabisa ambapo karibia watu wote wa duniani wataiona na hapo ndipo vurugu zitaanza maana tayari wale waliyokwisha kuijua mapema watakuwa tayari katika underground bases zao wakusubiria hiyo hali ipite.

13. Kuna njia ya ku-survive pale tukio hili likitokea, wanapendekeza maji na vyakula visivyo oza haraka na madawa yani first aid kit na madawa mengine ya muhimu, ukae umbali wa miles 400 kutoka katika usawa wa bahari, ukae mbali sana na maeneo yote ambayo vaolcano ilikuwa au ipo muda kwa muda kama milima ya kilimanjaro na meru, kaa mbali na maeneo ya bonde la ufa kuna uwezekano wa tetemeko la ardhi likaitanua zaid ya hapo.

 

VIDEO: TOFAUTI NA SAYARI KUBWA ZILIMO ANGANI LAKINI PIA KUNA AINA YA MAGIMBA MAKUBWA YENYE MFANO WA MAWE AU MIAMBA AMBAYO NAYO HUA KATIKA MFUMO WA JUA

03:04:00

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes