Latest in Tech

50 CENT AMGUNDUA MWANAE MWINGINE

Imetajwa kuwa ni utani wa masihara anaofanya 50 Cent na vyombo vya habari au ni kweli. Rapa huyu hivi karibuni amesema amegundua ana mtoto mwingine, Mtoto huyu anaitwa Davian.

50 Cent tayari ana watoto wawili Marquise Jackson, 19, na Ex wake Shaniqua Tompkins na Sire Jackson, 3, na mwana mitindo Daphne Joy.

50 Cent amesema amegundua ana mtoto mwingine na atatoa taarifa soon.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes