Latest in Tech

BAADA YA KUACHANA NA CHRISS BROWN SASA ADONDOKEA KWA STAA MWINGINE


Baada ya kuachana na Chris Brown mwana mitindo Karrueche Tran amekuwa akitoka na watu maarufu na wenye mkwanja ila sio kama huyu.

Imeripotiwa kuwa kwa sasa Karrueche Tran anatoka na mwendesha magari ya formula  Lewis Hamilton ambaye kwa mujibu wa Forbes, Lewis ametengeneza zaidi ya dola miliono $100 mwaka jana.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes