Latest in Tech

RAPER HUYU AZIMIA BAADA KUVUTA BANG KUPITA KIASI


Rapa Waka Flocka Flame amezimia na kupoteza fahamu kwenye tamasha la muziki baad aya kuvuta bangi kwa kupitiliza.

Watoa huduma ya kanza walifika eneo la tukio na kumkuta rapa Waka Flocka akiwa amepoteza fahamu na kuishiwa mahi mwilini.

Baada ya kupewa drip za maji kwa dakika chache aliamka.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes