Latest in Tech

Baada ya kutukana na kuondoka kwenye interview ya radio,Birdman aomba radhi.

CEO Wa lebel ya Cash Money Birdman ameomba radhi kwa watangazaji wa The Breakfast Club ambao ni Charlamagne Tha God, DJ Envy na Angela Yee.

Dj Envy amesema “Nimeongea na Birdman na ameomba radhi na yupo tayari kurudi kwenye show,”
Charlamagne Tha God amesema yeye yuko powa na hana tatizo na Birdman,

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes