Latest in Tech

DESIGNER NDIE STAA ANAETAZAMWA ZAIDI ULIMWENGUNI MWAKA HUU

Wimbo wa Desiigner ‘Panda’ umeshika namba moja kwenye chati za Billboard Hot 100 na kuishusha kazi ya Rihanna na Drake “Work” baada ya wiki tisa.
Bosi wa G.O.O.D Push T amesifia juhudi za Dessigner mwenye miaka 18 tu kwa sasa.
Dessinger ameweka rekodi mpya baada ya Chris Brown, rekodi hii ni kuwa msanii mdogo zaidi akiwa na miaka 18 kuwa na wimbo kwenye nafasi ya namba moja kwenye Billboard hot 100.
Chris Brown alishikilia rekodi hio mwaka 2007 akiwa na miaka 18 kwa wimbo wake wa “Kiss Kiss” na Lorde mwaka 2013 kupitia wimbo wa “Royals.”
Dessinger amepata mafanikio haya bila video ya “Panda” kitu ambacho kimatejwa kuwa ni kikubwa sana kwa msanii.
Dessigner ametajwa kuwa msanii wa kuangali zaidi mwaka huu sio tu Marekani ila duniani kwa ujumla.
panda
Billboard Hot 100 Top 10
  1. Desiigner – “Panda”
  2. Lukas Graham – “7 Years”
  3. Drake feat. Wizkid & Kyla – “One Dance”
  4. Rihanna feat. Drake – “Work”
  5. Mike Posner – “I Took a Pill in Ibiza”
  6. Fifth Harmony feat. Ty Dolla $ign – “Work from Home”
  7. Meghan Trainor – “No”
  8. ZAYN – “Pillowtalk”
  9. Justin Bieber – “Love Yourself”
  10. G-Eazy feat. Bebe Rexha – “Me, Myself & I”

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes