Latest in Tech

ILOVEMAKONNEN AMDISI DRAKE

ILoveMakonnen ameonekana kutokuwa sawa na Drake baada ya kujitoa kwenye lebel yake ya OVO.

Makonnen amediss album ya Drake ya Nothing Was the Same huku akiponda album ijayo ya View From The 6 na kuipa jina SHIT ALBUM.

Mpaka sasa hakuta taarifa kamili za sababu za kujiyoa OVO Ukizingatia Drake kwa sasa ni miongoni mwa wasanii wenye mkwanja mwingi wa kuweka kwenye muziki.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes