Latest in Tech

DJ Khaled kafunguka kuhusu kukutana na Obama na kupiga show na Beyoncé.

Dj khaled amefanyiwa interview na radio ya New York Power 105 nakuongelea kukutana na Obama na tour na Beyonce.

Kuhusu kukutana naobama, Khaled anasema issue ilikuwa kuboresha maisha ya vijana na kubadilisha dunia.

Kuhusu kwenda tour na Beyonce, Dj Khaled amesema  “Sijaongea naye toka wamenipa taarifa kuwa nitakuwepo kwenye  show zake za ziara yake ya “Formation World Tour” ila nimebarikiwa kuwa karibu na  Jay Z na Lenny [Santiago] na nitaweka juhudi zote hapo”.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes