Latest in Tech

Gwen Stefani atengana na mume wake.

Pop staa Gwen Stefani amepeana talaka na mume wake Gavin Rossdale baada ya kuka kwenye ndoa kwa miaka 13.

Rossdale angeweza kupata asilimia 50% ya kila kitu alichopata Gwen ndani ya miaka 13.

Gwen Stefani amepata asilimia 100% ya haki za muziki na kampuni yake ya nguo L.A.M.B. na Harajuku Lovers. Gwen na Rossdale wana watoto watatu.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes