Latest in Tech

Nilimuona Baba yangu akitumia Cocaine dakika chache kabla ya kifo chake,ODB Jr

Mtoto wa rapa marehemu Ol’ Dirty Bastard ‘ODB Jr’ ameweka wazi alimuona baba yake akitumia dawa za kulevya dakika chache kabla hajafariki.

ODB Jr mwenye miaka 26 anakumbuka kuvuta bangi akiwa mtoto na kuambiwa na baba yake akae akimtazama yey akivuta bangi na kutumia dawa za kulevya.

Ol’ Dirty Bastard alifariki jioni ya November 13, 2004 ‘Siku mbili kabla ya birthday yake] akiwa na miaka 35, sababu ya kifo ilitajwa kuwa ni mchanganyiko wa cocaine [Kupitiliza] na dawa ya Tramadol.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes