Latest in Tech

Drake asema tangu awe na beef na Meek Mill hajawahi kuzungumza na Nicki Minaj.

Katika kutangaza album yake mpya ya Views, rapa Drake amefunguka nakusema hajaongea na Nicki Minaj tangu awe na bifu na Meek Mill aliyesema Drake anaandikiwa mistari ya nyimbo zake.

Drake anasema “Siongei na Nicki na ni mtu mwingine ninaye muheshimu na kumpenda zaidi, sio sababu ya kazi na maisha yaetu ya nyuma, ila ni jinsi alivyokuwa wakati wa beef langu na Meek Mill, sio tu mapenzi na mtu wake ila alivyokuwa ata mimi nilijiuliza alifanyaje na itakuwaje
Drake na Nicki Minaj wapo kwenye lebel moja ya Young Money na wamefanya collabo zaidi ya moja.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes