Latest in Tech

Drake atoa sababu za kukosekana kwa colabo yake na Jay Z na Kanye West kwenye album ya Views.

Rapa Drake amefunguka kuhusu kukosekana kwa wimbo aliofanya na Jay Z na Kanye West kwenye album ya Views From The 6, Drake amesema sababu ya kutokuweka wimbo huo ni kutokana na Jay Z ambaye aliweka mistari miwili tu kwenye wimbo huo.

Drake anasema  “Jay didn’t really do a verse. Really ‘Ye just sent it to me like that. He said, ‘Jay just did my first few lines for me…People want to hear Jay rap,’”
Drake anasema pamoja na kumheshimu sana Jay Z, huwa wanatofautiana sana mitazamo yao kuhusu muziki.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes