Mwimbaji kutoka Kenya anayefanya kazi zake za muziki Nigeria Victori
Kimani amesema lengo la kujiunga na lebel ya Nigeria ya Chocolate City
ni kuteka mashabiki zaidi Afrika.
Victoria anasema “Wakati najiunga na Chocolate City walikuwa na ofisi
zao Kenya na lengo lao lilikuwa kutangaza wasanii Afrika nzima na sio
nchi moja tu, ndio maana nilipenda kufanya nao kazi na wameweza
kufikisha muziki wangu kwa mashabiki wengi kwenye bara la Afrika”.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)


Post a Comment