Latest in Tech

STAR HUYU AMKANA JAY Z

Staa wa Rnb kutoka Uingereza Rita Ora amekunusha kuwa yeye ni “Becky” aliyeimbwa kwenye wimbo wa SORRY Wa Beyonce.
Rita alianza kuitwa ‘Becky’ baada ya kuvaa Brazia yenye picha za matunda ya malimao kama ilivyo album ya Beyonce.
Rita Pia alivaa shati lililofanana na shati la Beyonce kwenye video ya FORMATION.
Rita Ora alifanya kazi na Jay Z toka mwaka 2008 kupitia lebel yake ya Roc Nation.
rita ora 23

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes