Latest in Tech

RAPER YG AWINDWA NA POLISI BAADA KUMDISI TRUMP

Rapa YG kutoka Compton ambaye alitoa diss track kwa mgombea urais nchini Marekani ‘Donald Trump’ akiwa na msanii Nipsey Hussle amesema anafuatiliwa na polisi sana kwa sasa.

Wimbo wa YG uliitwa “FDT (F**k Donald Trump)” na anasema “Polisi wameniuliza kama nimeweka wimbo huu kwenye album yangu,watazuia isiuzwe, pia wametaka mashairi ya album yangu yote”.
YG anajipanga kutoa album mpya ya Still Krazy .

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © bakinamimi. Designed by OddThemes & VineThemes